Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upi huo jamani?Eeehh!!uchu tena[emoji39] [emoji39] [emoji14] [emoji14]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huyo mzee anapenda kukesha jamani mwanamke gani anayekubali kila siku kurudiwa usiku wa manane au alfajiri we sasa hivi anauliza kwa shayo kupo wazi au kumefungwa[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] huu sasa umbea huu!!hana mke!
Unajua sinuwii kukuudhi... Kwa hio usikasirikeNikuzowee na nini mie
Nisamehe basi nilale usingizi mzuriNdio umeomba radhi
Ukiniuzi lazima nikasirike niko na mbebez mie humu tusiharibiane we mzee sawa sawaUnajua sinuwii kukuudhi... Kwa hio usikasirike
Halua hio haina makombo[emoji3] [emoji3] [emoji3] hakiishagi utamu
Ha ha ha ha ha ha... Hicho kwa ajili ya kuonja tuKipapatio hakikutoshii...[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ha ha ha ha ha ha ha... Wacha uchokozi banaWa nyama ya ng'ombe
C unajua mimi babu yakoUkiniuzi lazima nikasirike niko na mbebez mie humu tusiharibiane we mzee sawa sawa
Ndio we ni babu yake shunie lakini kuna mda uko unapenda kunivurugaC unajua mimi babu yako
Asante babu yake shunie na kwako piaBasi Ulale salama na uilaze salama mjukuu wangu...
Nimeshakusamehe jamani khaa we babu una gubuNisamehe basi nilale usingizi mzuri