Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye umemkubalia ajaribu bahati yake, mimi hata kushika mkono wangu kwa salam tu hutaki.[emoji16]Try ur luck!!u never know!
Sema kweli nilikuwa silijui hili kumbe wanakulana kweliUtani wapi[emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wanakulana kiukweli ukweli humu swaaafi,life linasonga....!!!
Haijalishi ujana kala nani bwanaa!wazee ndo wazuri wanalea haooo!.
Shauri zako
Mzuri na kulea awe na mahela sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we huwataki hao sasa my shuuu!!
Teh teh, kwani nina kosa gani hivyo?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaniii...!!!kwa wengine sio kwangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenyewe nimesikia hvyooo ila sina hakika km kweli au laaahhh!!!
Nitarudi[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] eti babu hela hunaa,!
Waringia msuli!!!+
Cjui kwa kweli, sina uzoefu huo,halafu mie sio wa ushuani,kusema sipakubali baadhi ya maeneo sio kwamba nakaa ushuani [emoji12] [emoji12]Kwani humu wa kuokota wapo mzee wa ushuani [emoji16][emoji16][emoji16]
Teh, ukitongozwa usiite mwenzako bwana. [emoji16][emoji23]Kwa nini sasa?!!!mmekosea[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Nimefurahi tuUsicheke kweli tenaaa!
Khaaaaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hapana kakaa huna kosaa!!!jaribu na weye kwa kina@Shunie
Kufuturu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wenda wapi?!!!