unawawekia zamu .. unawapa huduma sawa kama ukinunua kilo ya nyama kwa mmoja basi wote unawapa kilo moja.. usiwe na upendeleo.. wivu wa asili ni kuwaweka mbali na kila mtu akae kwake na wewe ndiyo controler... swala la kuchepuka ni tabia ya mtu tu hata umkune vipi kama ni mchepukaji atachepuka tu
Somo zuri.miss chagga;
Sikupingi mawazo yako ila, weye hufahamu haya yanayozungumziwa hapa. Mgalatia na hii sunna wapi na wapi?? Kuoa wake wengi ni muhimu ka kula chakula cha mchana. Wale wasiojua umuhimu ndo utawaona hapa wakilipinga Neno la Allah!
Huduma yao sio kilo ya nyama tu, tunawahudumia vyoote sawa sawa. Kila mmoja anapata sawa na mwenzake tena bila shida yeyote. Mwanamume rijali aweza kuwaridhisha wake 10 kila siku bila shida. Shida inakuja, ukianza kusumbuliwa nao kwa mahitaji yasiyo muhimu ka vile saloon na mavazi ya kifahari. Ajiulize, anaenda nayo wapi?? Yule ni wangu tu wala hakuna mwanaume mwingine anastahili kuuona hata huo mkono wake acha mguu. Mwanamke mcha Mungu hajisumbui na malimwengu
Huyo Shekhe huwa noma sanaUnakuwa Na Mke Mmoja Kama Mkristo ?
Mmoja Pekee Yake Ni Mama Aliyekuzaa
By Sheikh Hilary Kipozeo
Salaam,
Naomba kufahamishwa.
Kwa wale polygamists mnapangaje ratiba za kushiriki ndoa na wenzi wenu? Je, ladha huwa ipoje kwa kila mke? Mnawezaje kuzuia ule wivu wa asili baina ya wake zenu? Pia ni kwa namna gani mnapata nguvu ya kuwahimili wake wanne na kuwaridhisha haswa ili wasichepuke? Je, nanyi bado mnapata kutamani nyama za nje ya bucha?
Mwenye hiyo clip atuwekee. Kipozeo ni nomaUnakuwa Na Mke Mmoja Kama Mkristo ?
Mmoja Pekee Yake Ni Mama Aliyekuzaa
By Sheikh Hilary Kipozeo
Inna lilahi wa inna ileihi rajuun.Unakuwa Na Mke Mmoja Kama Mkristo ?
Mmoja Pekee Yake Ni Mama Aliyekuzaa
By Sheikh Hilary Kipozeo
Ktk ubora wako kama jina lako linavyosadifuuSasa videmu vinne tu ndio unaomba ushauri hapa namna ya kuwapiga 'rungu' nakumbuka niliwahi kuwa na mademu 7 na kuna sikukuu 1 hivi mwaka mpya, nilipiga wote babake, nilianza kwa Kimla mmoja saa 11 jioni mpaka saa 3, kisha saa 4 akaingia mwingine nikapiga mpaka saa 6 usiku akatembea, kisha akaingia mwingine nikapiga Mpaka saa 11 alfajiri, saa 12 akaingia binti afande wa magereza katoka lindo la usiku, nikapiga mpaka saa 3 akatembea, saa 5 Akaingia mwenye nyumba akala moja tu maana niliona ananikodolea macho sana, kisha akaingia house girl wa mwenye nyumba mtoto wa kihehe eti niangusage zambi zako mwenyewe, huyu akala nae moja, saa 9 akaingia binti wa kinyiramba na bakuli la pilau nyoooo, nikamgeuza kama chapati ya kizaramo na ile mishanga aliyokua ameivaa na kilio cha utamu ni full mabao babake. Sasa iweje nishinde wanne tu tena zama ya siku tatu tatu labda? We owaga hao wanne na kama ukishindwa ni PM ili nikusaidie tu sasa maana hakuna namna.
Nipo kwenye tafiti mkuuunaonekana mkuu unapenda sana kuwa na wake wengi MAANA HIZI MADA UNAZIPENDA SANA
Mwanaume kwa asili ni Polygamist, Lazima atatafuta wa pili