miss chagga;
Sikupingi mawazo yako ila, weye hufahamu haya yanayozungumziwa hapa. Mgalatia na hii sunna wapi na wapi?? Kuoa wake wengi ni muhimu ka kula chakula cha mchana. Wale wasiojua umuhimu ndo utawaona hapa wakilipinga Neno la Allah!
Huduma yao sio kilo ya nyama tu, tunawahudumia vyoote sawa sawa. Kila mmoja anapata sawa na mwenzake tena bila shida yeyote. Mwanamume rijali aweza kuwaridhisha wake 10 kila siku bila shida. Shida inakuja, ukianza kusumbuliwa nao kwa mahitaji yasiyo muhimu ka vile saloon na mavazi ya kifahari. Ajiulize, anaenda nayo wapi?? Yule ni wangu tu wala hakuna mwanaume mwingine anastahili kuuona hata huo mkono wake acha mguu. Mwanamke mcha Mungu hajisumbui na malimwengu