Wenye wake wawili, watatu au wanne, mnapangaje ratiba ya kushiriki tendo la ndoa?

Umeniongezea kaujuzi
 
Umeniongezea kaujuzi

Poa usijali ila yataka kamoyo flan hivi. Miili yetu nayo ina manjonjo yake. Siku umekula vizuri unatamaki mtu wa kukusugua kidogo kumbe siyo zamu yako. Ukute ni chumba cha pili tu yupo. Yataka kamoyo flan hivi
 
Khee basi bora mmoja
 
Kuhusu wivu wa asili tinajaribu kuwalingania kwa mfano siku ya kwenda kufanya shopping naenda nao wote kuhusu matumizi Kila mtu namuachia kutokana na mahitaji yake kwa mfn mke mwenye watoto wawili na na asiyekua na mtoto katika mahitaji hawalingani maana kwenye watoto inaitajika kilo ya mchele pale pasipo na watoto ukipeleka kilo hyo inakua isiraf kwa hyo mahitaji hayafanani Kuna kitu kinaitwa uadilif hapa ni kwenye kutembez anzirani ukiwa kimoja chali toa talaka mapema maan sifa ya kua na mke Zaid ya mmoja utakua umefel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…