Wenye wapenzi Kinondoni mnajiamini nini?

Kino,mwananyamala,sinza,River side,Tabata,Manzese,Buguruni,Buza, Mbagala na kimala nayo inachipukia kwa kasi hayo maeneo biashara ya papuchi imekuwa rasmi yaani kama unatarajia kuoa maeneo hayo[emoji23][emoji23] daaa kuna uwezekano mkubwa sana unaoa kahaba fanya utafiti vizuri.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sahiv waturud kijijini kuoa
 
Tuache mchezo Kinondoni sio sehemu ya kujivunia kuwa na mpenzi, au mchumba mana sio Kwa Malaya walivyojazana vile kama njugu ukija Moscow makahaba

Wamejazana, uje studio makahaba ukikimbilia baa za Kinondoni Karibu zote ni makahaba, ukija vijana Yani uku ndio shida,ukigeuka studio wamejazana ukimbilia DStv mataptapu kama yote, ukikimbilia makaburini shida tupu, ukipita kweny street road unawakuta wamepanga foleni kama viazi vya chipsi ukija kwenye vituo vya daladala huwakosi kibaya zaidi wengi wao wa Malaya wa kinondoni ni watoto wa mle mle kinondoni

Kinondoni unaweza ukaingia baa ukakuta baa nzima wamejaa Malaya tu

Ukipata mwanamke kinondoni Bora uwe direct tu kumwambia akuuzie kuliko baby baby nyingi
Kinondoni wahudumu wa baa 99% ni wauzaji
Wengine hawana hata mishahara
 
Unaweza kutupa mipaka ya Kinondoni? Maana mini naishi kinondoni ila Hakuna hao Malaya, hiyo Sio sehemu ndogo tu ya Kinondoni?
 
Tuache mchezo Kinondoni sio sehemu ya kujivunia kuwa na mpenzi, au mchumba mana sio Kwa Malaya walivyojazana vile kama njugu ukija Moscow makahaba

Wamejazana, uje studio makahaba ukikimbilia baa za Kinondoni Karibu zote ni makahaba, ukija vijana Yani uku ndio shida,ukigeuka studio wamejazana ukimbilia DStv mataptapu kama yote, ukikimbilia makaburini shida tupu, ukipita kweny street road unawakuta wamepanga foleni kama viazi vya chipsi ukija kwenye vituo vya daladala huwakosi kibaya zaidi wengi wao wa Malaya wa kinondoni ni watoto wa mle mle kinondoni

Kinondoni unaweza ukaingia baa ukakuta baa nzima wamejaa Malaya tu

Ukipata mwanamke kinondoni Bora uwe direct tu kumwambia akuuzie kuliko baby baby nyingi
Sio kinondoni ya siku hizi hakuna kitu wameisha kabisa. Wale wa mitaa ya Meridian Maasai pale hawapo na kuna wale walikuaga chimbo la Vijana pale panajengwa wamekimbia, ukienda mpk kule 4ways ndo kabisaaa mnajikuta vidume tupu. Kinondoni ya mademu ni Ile ya zamani Sana ndo ilikua mzuka.
 
Kinondoni ni mahakama ya kukomesha na kupunguza stress ni sehemu nyeti katika taifa letu. Tuipe umuhimu na heshima ya kipekee
 
Kumbe ndiyo kulivyoo[emoji848]
Ila huu Uzi bila picha Bora ufutwee
Dear unaishi kinondoni
JamiiForums24733325.jpg
 
Kikao cha wanaume kimeadhimia kwamba, kamati maalumu itapita Kinondoni na kujiridhisha kabla ya kuja na tamko la mwisho
 
Jana nimepita Sinza kuanzia Mlimani City hadi Kitambaa Cheupe kwa miguu. Nina siku nyingi sana sijatembea uko nikataka nijue biashara mpya zilizoanzishwa nipate kujua kitu, . Bwana wee, wale malaya wakiona unatazama kwa umakini wanajua unawatafuta wao. Jana nikaitwa pochi nene, boss na majina ya pesa mengi njiani. Ajabu nikifika mahala kabla kidogo ya Kitambaa Cheupe nikakuta malaya wanachoma vitu moto na wananifukisha sehemu za siri. Wako sehemu wazi hawana habari mida ya saa tano usiku hiyo.

Nikajiuliza hawa wadada ambao nawaona kwa haraka wanavutia je hakuna mtu anapigwa na kitu kizito kichwani anadate na muuzaji bila kujua. Ule mwendo nilitumia dakika kama 24 ila malaya zaidi ya 10 nimewaona, wengine unaona ni mrembo yupo out ila hujui yawezekana anauza pia. Alafu jana mbona Kitambaa ilijaa sana, na pale nje wauzaji kama wote
 
Sinza huko ni hatari tupu dar ukitembea night Kwa miguu utaona vitu vingi sana vya ajabu ajabu
 
Kikao cha wanaume kimeadhimia kwamba, kamati maalumu itapita Kinondoni na kujiridhisha kabla ya kuja na tamko la mwisho
Hapa kuna njemba tayari zimeshapata machimbo mapya ya kwenda kula nyapu [emoji23][emoji23].
 
Back
Top Bottom