Mahusiano hasa ya mapenzi. Mapenzi hayangalii kuna wanaume walioko vyuoni wakabahatika kupata wapenzi huko na wasio wanachuo wakapata wanawake wa chuo..
Sasa uliye na mpenz chuo ukiona mpenz wako anakwambia haya jiangalie;
1. Ukimpgia simu, utaskia honey niko lecture
2. Then leo rafiki yangu ana mgeni usipige
3. Niko kwenye pepa na zinafanyika siku nzima.
Kumbeeee.....
Uzi kama huu ushaletwa jamvini. Pekua utaona
Uzi kama huu ushaletwa jamvini. Pekua utaona
heri mie niliye na wangu nyangeta wa kijijini
Mahusiano hasa ya mapenzi. Mapenzi hayangalii kuna wanaume walioko vyuoni wakabahatika kupata wapenzi huko na wasio wanachuo wakapata wanawake wa chuo..
Sasa uliye na mpenz chuo ukiona mpenz wako anakwambia haya jiangalie;
1. Ukimpgia simu, utaskia honey niko lecture
2. Then leo rafiki yangu ana mgeni usipige
3. Niko kwenye pepa na zinafanyika siku nzima.
Kumbeeee.....
Maumivu ndio inaumiza sana!Additional point: mi yashanikuta kama hayo bana kule "SUA", kale kabinti bwana kila nikikacall kana sema kapo buzy mpaka 2300hrs night, weekend kanasema kana paper all days, mala kana meeting na department/lectures, sim kaiacha charge, sim kaisau room, sim alimpa room, sim alimuachia jirani yake, mala sim itakata sasa hivi aina charge apo saa 22oohrs-2300hrs. kumbuka apo mtu umemsaidia for 6yrs alafu ana kudelete kisela iINAUMA KINOMA.
Hivi wapendwa hamjui kuwa chuo wasichana wengi hupata degree zisizo zao kwa kufanyiwa assignment!!!! Na huwa nao wa aina tatu 1. wa madesa {masomo} 2. wa cafeteria{ yaani masuala ya mapolokochoko manjale-misosi} 3. wa ukwelikwa hiyo jitathimini wewe uko wapi?
pole mkuu, wengi huwa wanajisahau sana na kuwasahau wale wanaowapenda kweli, mapenz ya chuo yana usanii mwingi sana lakn kwa upande we2 wakina dada wengi wao wanajihusisha na wapenz wengine kwa kutaka maisha flan ambayo hana uwezo nayo, kibaya zaid wasichana wa namna hii wanaishia kwenda na mibaba mikubwa tena yenye wake na watoto.Additional point: mi yashanikuta kama hayo bana kule "SUA", kale kabinti bwana kila nikikacall kana sema kapo buzy mpaka 2300hrs night, weekend kanasema kana paper all days, mala kana meeting na department/lectures, sim kaiacha charge, sim kaisau room, sim alimpa room, sim alimuachia jirani yake, mala sim itakata sasa hivi aina charge apo saa 22oohrs-2300hrs. kumbuka apo mtu umemsaidia for 6yrs alafu ana kudelete kisela iINAUMA KINOMA.
bongobila UKIMWI haiwezekankazi mnayo wapangwaji,kwa stahilli hii ngoma kuisha ni hadithi