Wenyeji acheni kuwafundisha wageni matusi

goroko77

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2019
Posts
8,845
Reaction score
13,072
Jana wakati klabu yangu Yanga SC ikitwaa ubinga wa 2021 /2022 baadhi ya wachezaji. Waliojiwa na Gift Macha kueleza hisia zao na furaha zao kufikia hatua hi muhimu kabisa kuchukuwa ubingwa kabla ligi kuisha na gapu kubwa pa point.

Lakini cha kushangaza Ni kwamba Feisal Salim Toto akiwa anaongea na mtangazaji bwana Gift Macha alitokea Mayele hapo na kuanza kumkumbatia Fei ndipo mtangazaji anamuuliza vip nyinyi ni washakaji sana inaoneka.

Ndio Mayela akasema yeye ni mshakaji wake na Fei Toto na pia yeye ndiye anamfundisha matusi klabuni hapo. Kweli ni sahihI wenyeji ssi kuwafundisha matusi wageni siyo sawa?

Fei Toto nakukubali ila tabia ya kuwafundisha watu matusi siyo sawa kbsa wafundisheni maadili na utamaduni wetu wa kitaanzania matusi ipo siku atakuja kuropoka mbele ya hadhara na kuwaudhi wengi .
 
Maana yake wanafanya matusi,kumbe ile kauli aliyosema Kabwili kuwa amewaacha wenzake tisa hapo Utopwinyo haikutoka kwa bahati mbaya
 
Rubbish. Endeleeni kuweweseka, bado FA.
 
Kabwili aliacha ametia sumu kali Sana pale utopoloni.Samaki wanakulana wao kwa wao. Utopoloni pameshageuka kuwa sodoma . Hata Mashabiki wao wa kiume wanaomba wabadilishwe jinsi wapigwe mimba na mayele . Pale sodoma si mchezo !
 
Ni jambo la kawaida na muhimu sana kujifunza au kufahamu matusi ya lugha ngeni ili usijekukosea mbele ya kadamnasi, mathalani mgeni akikosea kusema kumi na akasema kum* itakuwa ni aibu kwa taasisi husika, wengi tutahoji kwa nini hakufundishwa kuwa hilo ni tusi.!
 
Kumbeni sahh
 
Huwa nasoma comment za baadhi ya watu humu jukwaani na zinanifanya niamini Watanzania wengi upeo wa kufikiri Ni mdogo kuliko wa kondoo.Kwa taarifa yako mtu anayefundishwa lugha na rafiki yake au kundi lake Hilo Ni Jambo la kawaida.
 
Hata Morison aliwahi kuulizwa kama ameshajua kuongea kiswahili, akasema "najua kidogo Mkude huwa ananifundisha matusi tu"
 
Watu wanaofanikiwa kujua Lugha mapema huanza maneno ya matusi, hii husaidia pale anapojichanganya na wenyeji wakimtamkia maneno mabaya wakiamini hajui ili aweze kujua
 
Mngeshinda mechi zenu muda huu wala msingekuwa na muda wa kuandika petty issue kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…