goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Jana wakati klabu yangu Yanga SC ikitwaa ubinga wa 2021 /2022 baadhi ya wachezaji. Waliojiwa na Gift Macha kueleza hisia zao na furaha zao kufikia hatua hi muhimu kabisa kuchukuwa ubingwa kabla ligi kuisha na gapu kubwa pa point.
Lakini cha kushangaza Ni kwamba Feisal Salim Toto akiwa anaongea na mtangazaji bwana Gift Macha alitokea Mayele hapo na kuanza kumkumbatia Fei ndipo mtangazaji anamuuliza vip nyinyi ni washakaji sana inaoneka.
Ndio Mayela akasema yeye ni mshakaji wake na Fei Toto na pia yeye ndiye anamfundisha matusi klabuni hapo. Kweli ni sahihI wenyeji ssi kuwafundisha matusi wageni siyo sawa?
Fei Toto nakukubali ila tabia ya kuwafundisha watu matusi siyo sawa kbsa wafundisheni maadili na utamaduni wetu wa kitaanzania matusi ipo siku atakuja kuropoka mbele ya hadhara na kuwaudhi wengi .