Wenyeji, hodi humu ndani

Wenyeji, hodi humu ndani

Joined
Sep 13, 2023
Posts
35
Reaction score
46
nawasilimu nyote.
Nimejiunga nanyi kwa mambo mawili muhimu.

Kwanaza, kuchota elimu, ujuzi na marifa katika nyanja zote kijamii, kiuchumi, kiutamaduni na kisiasa.

Maana kwa muda mrefu nimekua nikichota marifa mengi ya humu ndani nikiwa nje kama mshabiki, nikaona sasa ni muda muafaka niwe member kabisa.

Pili, kuona namana ambavyo naweza pata mwenza mkristo, mkatoliki, mbatizwa, mwaminifu na mkweli mwenye kati ya umri wa miaka 25-35 maana mie nina zaidi ya miaka 40.

wasalam,
Naomba mnipokee
 
Kama uliyoyasema ndio yaliyokuleta jf mkuu karibu sana na utavuna hata zaidi ya hivyo.
Karibu jf kama member japo umesema si mgeni wa jf
 
nawasilimu nyote.
Nimejiunga nanyi kwa mambo mawili muhimu.
kwanaza, kuchota elimu, ujuzi na marifa katika nyanja zote kijamii, kiuchumi, kiutamaduni na kisiasa. maana kwa muda mrefu nimekua nikichota marifa mengi ya humu ndani nikiwa nje kama mshabiki, nikaona sasa ni muda muafaka niwe member kabisa..
Pili, kuona namana ambavyo naweza pata mwenza mkristo, mkatoliki, mbatizwa, mwaminifu na mkweli mwenye kati ya umri wa miaka 25-35 maana mie nina zaidi ya miaka 40.

wasalam,
naomba mnipokee.
Hapo kwenye mwenza sina uhakika ila endelea kupambana.
 
Kwahyo kilichokuleta ni kutafta dem wa mtandaoni. Huku wamejaa singo maza na wana maukali hatari
 
nawasilimu nyote.
Nimejiunga nanyi kwa mambo mawili muhimu.
kwanaza, kuchota elimu, ujuzi na marifa katika nyanja zote kijamii, kiuchumi, kiutamaduni na kisiasa. maana kwa muda mrefu nimekua nikichota marifa mengi ya humu ndani nikiwa nje kama mshabiki, nikaona sasa ni muda muafaka niwe member kabisa..
Pili, kuona namana ambavyo naweza pata mwenza mkristo, mkatoliki, mbatizwa, mwaminifu na mkweli mwenye kati ya umri wa miaka 25-35 maana mie nina zaidi ya miaka 40.

wasalam,
naomba mnipokee
Ukimpata mchumba JF ujue ni gaka lililoshindikana. Hakuna mwanamke mwenye sifa hizo humu.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
nawasilimu nyote.
Nimejiunga nanyi kwa mambo mawili muhimu.

Kwanaza, kuchota elimu, ujuzi na marifa katika nyanja zote kijamii, kiuchumi, kiutamaduni na kisiasa.

Maana kwa muda mrefu nimekua nikichota marifa mengi ya humu ndani nikiwa nje kama mshabiki, nikaona sasa ni muda muafaka niwe member kabisa.

Pili, kuona namana ambavyo naweza pata mwenza mkristo, mkatoliki, mbatizwa, mwaminifu na mkweli mwenye kati ya umri wa miaka 25-35 maana mie nina zaidi ya miaka 40.

wasalam,
Naomba mnipokee
Lakini mbona mwandiko wako ni wa kitoto?[emoji23][emoji23] 40yrs like 12yrs na unasaka muke
 
Back
Top Bottom