HelcopterChopa
Member
- Sep 13, 2023
- 35
- 46
Hapo kwenye mwenza sina uhakika ila endelea kupambana.nawasilimu nyote.
Nimejiunga nanyi kwa mambo mawili muhimu.
kwanaza, kuchota elimu, ujuzi na marifa katika nyanja zote kijamii, kiuchumi, kiutamaduni na kisiasa. maana kwa muda mrefu nimekua nikichota marifa mengi ya humu ndani nikiwa nje kama mshabiki, nikaona sasa ni muda muafaka niwe member kabisa..
Pili, kuona namana ambavyo naweza pata mwenza mkristo, mkatoliki, mbatizwa, mwaminifu na mkweli mwenye kati ya umri wa miaka 25-35 maana mie nina zaidi ya miaka 40.
wasalam,
naomba mnipokee.
Ukimpata mchumba JF ujue ni gaka lililoshindikana. Hakuna mwanamke mwenye sifa hizo humu.nawasilimu nyote.
Nimejiunga nanyi kwa mambo mawili muhimu.
kwanaza, kuchota elimu, ujuzi na marifa katika nyanja zote kijamii, kiuchumi, kiutamaduni na kisiasa. maana kwa muda mrefu nimekua nikichota marifa mengi ya humu ndani nikiwa nje kama mshabiki, nikaona sasa ni muda muafaka niwe member kabisa..
Pili, kuona namana ambavyo naweza pata mwenza mkristo, mkatoliki, mbatizwa, mwaminifu na mkweli mwenye kati ya umri wa miaka 25-35 maana mie nina zaidi ya miaka 40.
wasalam,
naomba mnipokee
shukran sana nduguHapo kwenye mwenza sina uhakika ila endelea kupambana.
hilo ni miongoni mwa mambo mengine mengiKwahyo kilichokuleta ni kutafta dem wa mtandaoni. Huku wamejaa singo maza na wana maukali hatari
😀😀 sawaUkimpata mchumba JF ujue ni gaka lililoshindikana. Hakuna mwanamke mwenye sifa hizo humu.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Lakini mbona mwandiko wako ni wa kitoto?[emoji23][emoji23] 40yrs like 12yrs na unasaka mukenawasilimu nyote.
Nimejiunga nanyi kwa mambo mawili muhimu.
Kwanaza, kuchota elimu, ujuzi na marifa katika nyanja zote kijamii, kiuchumi, kiutamaduni na kisiasa.
Maana kwa muda mrefu nimekua nikichota marifa mengi ya humu ndani nikiwa nje kama mshabiki, nikaona sasa ni muda muafaka niwe member kabisa.
Pili, kuona namana ambavyo naweza pata mwenza mkristo, mkatoliki, mbatizwa, mwaminifu na mkweli mwenye kati ya umri wa miaka 25-35 maana mie nina zaidi ya miaka 40.
wasalam,
Naomba mnipokee
DP bandari ,,upo upande upi?Kisiiasa.