Nipe Andiko
Senior Member
- Jan 20, 2017
- 133
- 133
Baada ya kuperuzi katika hili jukwaa kama mgeni, kwa miezi kadhaa, hatimaye sasa nimejiunga rasmi ili kuungana na wenyeji mlioko humu. Ni matumaini yangu kuwa sitajuta kuwemo kwenye hili jukwaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana mkuu mi naitwa wa stendi ndo mtunzi wa picha za member wa humu hivyo naomba picha yako pliz!!Baada ya kuperuzi katika hili jukwaa kama mgeni, kwa miezi kadhaa, hatimaye sasa nimejiunga rasmi ili kuungana na wenyeji mlioko humu. Ni matumaini yangu kuwa sitajuta kuwemo kwenye hili jukwaa.