<br />salam zenu ndugu, mie ni binti wa miaka 22, nimekuwa kama guest member kwa muda mrefu. Sasa nimeamua kujiunga rasmi na forum hususan MMU. Nipokeeni jamani.
Nadhani haihusu..kikubwa tu awe na akili timamu!karibu sana,..una mchumba weye?
Nadhani haihusu..kikubwa tu awe na akili timamu!
mwanajf@marketplacesalam zenu ndugu, mie ni binti wa miaka 22, nimekuwa kama guest member kwa muda mrefu. Sasa nimeamua kujiunga rasmi na forum hususan MMU. Nipokeeni jamani.
<br />salam zenu ndugu, mie ni binti wa miaka 22, nimekuwa kama guest member kwa muda mrefu. Sasa nimeamua kujiunga rasmi na forum hususan MMU. Nipokeeni jamani.
<br /> <br / hahahaa unataka umchumbie fasta wasije wakamuwah!!. Karibu sana mdago wangukaribu sana,..una mchumba weye?