Wenyeji nipokeeni mwenzenu!

Wenyeji nipokeeni mwenzenu!

Nzenzu

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
858
Reaction score
164
salam zenu ndugu, mie ni binti wa miaka 22, nimekuwa kama guest member kwa muda mrefu. Sasa nimeamua kujiunga rasmi na forum hususan MMU. Nipokeeni jamani.
 
salam zenu ndugu, mie ni binti wa miaka 22, nimekuwa kama guest member kwa muda mrefu. Sasa nimeamua kujiunga rasmi na forum hususan MMU. Nipokeeni jamani.
<br />
<br />
Mie pia ni kama wewe, nahc tutakuwa pamoja kwenye hili jamvi letu, karibu xana
 
&quot;Young and wise&quot; I hope maneno hayo matatu ndo yanakudefine. Karibu
 
Karibu binti, karibu sana mgeni,subir Nyani Ngabu anakuletea soda!
 
na miaka kabisa umeitaja?
Haya kwa wale mnaopenda dogo dogo changamkeni!
 
Karibu sana sweetie,karibu sana my dear,karibu sana mahabati,karibu sana humu mmu mchuchu!!
 
salam zenu ndugu, mie ni binti wa miaka 22, nimekuwa kama guest member kwa muda mrefu. Sasa nimeamua kujiunga rasmi na forum hususan MMU. Nipokeeni jamani.
<br />
<br />
umekaribishwa JE UMEOLEWA AU UNA MCHUMBA?
 
Back
Top Bottom