Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyani Ngabu Yuko kifungoni kesha kula ban Soda zipo hata sisi tunazo mwache achague 22 years old!Karibu binti, karibu sana mgeni,subir Nyani Ngabu anakuletea soda!

Mmh! hiyo mitego sasa!

Hapo unadili na kiambishi awali 'i' katika kitenzi 'ishatolewa' kisha unapachika nomino yoyote inayoendana na hiyo 'i' kwa kuzingatia kwamba hiyo nomino isivuke mipaka ya MMU.

Nyani Ngabu Yuko kifungoni kesha kula ban Soda zipo hata sisi tunazo mwache achague 22 years old!

Asanteni sana jamani, nafarijika kwa upendo wenu kwangu, natumai tutafurahia jamvi pamoja!