and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Dec 11, 2023 #1 Sisi wenyeji wa Hanang' tunaoishi nje ya Hanang' (jobless) tupewe kipaumbele kuwafanyia counseling ndugu zetu hawa (Kwa kilugha) 0788 786742 NB: hiyo posho na sisi tunahitaji
Sisi wenyeji wa Hanang' tunaoishi nje ya Hanang' (jobless) tupewe kipaumbele kuwafanyia counseling ndugu zetu hawa (Kwa kilugha) 0788 786742 NB: hiyo posho na sisi tunahitaji
C connections JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 2,190 Reaction score 3,039 Dec 11, 2023 #2 Watu wanawaza ulaji kuliko hata janga lenyewe aisee
E establishment JF-Expert Member Joined Jun 27, 2015 Posts 1,632 Reaction score 2,435 Dec 11, 2023 #3 Tutakufanyia kazi wakati mwingine
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 16,388 Reaction score 51,970 Dec 11, 2023 #4 connections said: Watu wanawaza ulaji kuliko hata janga lenyewe aisee Click to expand... Wanasemaga kufa kufaana😌😌
connections said: Watu wanawaza ulaji kuliko hata janga lenyewe aisee Click to expand... Wanasemaga kufa kufaana😌😌
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Dec 11, 2023 #5 Mmh pesa za misaada hizi majanga
E establishment JF-Expert Member Joined Jun 27, 2015 Posts 1,632 Reaction score 2,435 Dec 11, 2023 #6 Numbisa said: Mmh pesa za misaada hizi majanga Click to expand... Pesa zinawatoa watu utu
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Dec 11, 2023 Thread starter #7 100,000USD
C connections JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 2,190 Reaction score 3,039 Dec 14, 2023 #8 Posho bei gan?
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,358 Reaction score 10,976 Dec 22, 2023 #9 Pamoja sana