Wenyeji wa iramba-singida

Wenyeji wa iramba-singida

kwa waliopangiwa Karatu wanitafute mwenyeji wao nipo na nitakuwepo kwa miezi minne ijayo.
 
N:B ukiwahi kuripoti unajenga posibility kubwa ya kupata shule nzuri na iliyo center tena uwe mjanjamjanja wakupange xcul yenye nyumba za maticha... wanaochelewaga obviously inakulaga kwao.. KARIPOTI WAKIKUPANGIA KI2O KAKICHEKI UKIRIDHIKA WAPIGE SOUND KUWA UNARUDI HOME KUJIPANGA NA KUBEBA MIZIGO unavuta kama weeks3 then unarudi unakula mshahara wako.. Unaanza mzigo kwa moraaaale...
 
thanks ndugu yangu, nimeupenda ushauri wako.
 
Mimi nimepangwa shinyanga mjini natafuta mtu wa kubadilishana nae kutoka mkuranga bagamoyo au kibaha mjini. ukiwa tayari nitafute 0713794580 be serious
 
Mwalimu inategemea umepangwa tarafa ipi,maana iramba kulu kuliko TZ,wenyeji hutumia kamsemo hako.Usinisjangae ninacho kuambia ukweli Iramba nikumbwa.

Kiswahiuli: IRAMBA KUBWA KULITO TZ.
haa dogo wasalimie huko KUKU wakienyeji ndio wenyewe, kwani KUKU ni mkubwa kama MBUZI.
 
Muulize Mwigulu Nchemba ndi mbunge wa huko nenda ofisi ndogo ya CCM pale Lumumba mueleze shida yako.
 
Wanajamvi poleni na mihangaiko ya kila siku. Mimi ni mwalimu wa shahada ya kwanza na hivi karibuni wizara imenipangia iramba mkoani singida kama kituo changu cha kazi. Tatizo siifahamu hata kidogo wilaya hiyo naomba wanajamvi mnisaidie ili walau nipate picha ya sehemu ninayoenda au kama kuna mtu anapenda kwenda huko tunaweza kubadilishana. Naomba kuwasilisha.

Shule nzuri za sekondari ni Tumaini na Lulumba (hizi ni kongwe na zina A-level ingawa hazifanyi vizuri kama zamani kitaaluma). Shule zilizopo barabara kuu ni kama Kizaga, Shelui, Kyengege (hii ni shule ya kata nitokako), Iguguno na Tumuli kama sikosei. Katika maeneo ya shule hizi karibu zote kuna umeme wa uhakika ingawa hamna intenert cafes, kama una laptop na moderm bado tutakuona JF. Anyway ukipangiwa shule hizi kuna unafuu mkubwa, else ualimu ni wito. Naamini kuanzia kufanya kazi sehemu kama Iramba kunaweza kukuletea baraka tele, tuna baadhi ya Waziri, Wakuu wa Mikoa, wa Wilaya n.k walianza hivyo hivyo, kikubwa usiende kunogewa na pombe za kule (mtukula na gongo) kuziacha ni issue! For more information niPM
 
Sina uoga wa kazi wakuu ila napenda niyafahamu mazingira niendayo kwani sikuwahi hata sikumoja kufikiri kama nitaishi kule.

utadangwanywa, we jipange nenda kajifunzze na utamaduni wa wengine. itakusaidia siku za usoni
 
Shule nzuri za sekondari ni Tumaini na Lulumba (hizi ni kongwe na zina A-level ingawa hazifanyi vizuri kama zamani kitaaluma). Shule zilizopo barabara kuu ni kama Kizaga, Shelui, Kyengege (hii ni shule ya kata nitokako), Iguguno na Tumuli kama sikosei. Katika maeneo ya shule hizi karibu zote kuna umeme wa uhakika ingawa hamna intenert cafes, kama una laptop na moderm bado tutakuona JF. Anyway ukipangiwa shule hizi kuna unafuu mkubwa, else ualimu ni wito. Naamini kuanzia kufanya kazi sehemu kama Iramba kunaweza kukuletea baraka tele, tuna baadhi ya Waziri, Wakuu wa Mikoa, wa Wilaya n.k walianza hivyo hivyo, kikubwa usiende kunogewa na pombe za kule (mtukula na gongo) kuziacha ni issue! For more information niPM

nashukuru ndugu mimi napenda sana sehemu yenye umeme na maji mambo mengine majaliwa. naishukuru jamii forum kwa kunisaidi kupata taarifa nzuri kama hizi. Mungu awabariki.
 
Ukitaka kuwa tajiri ni rahisi sana ukienda sehemu ambayo wakazi wake ni maskini au mahali ambapo watu wengine hawapapendi.
Kwa sababu wewe ni msomi na una kipato basi utawatumia hawa maskini kujiendeleza kwani hawana gharama kubwa kuwatumia kujiongezea kipato.
Kumbuka wazungu walitoka Ulaya kuja afrika zaidi ya miaka 200 iliyopita kujitafutia maendeleo,kipindi hicho Inchi ilikuwa na hali duni sana.
Naamini ukienda Sgd hutatamani kurudi uliko kwani maisha ni nafuu sana, ardhi pia haina gharama kubwa japokuwa nimesoma leo kwenye gazeti kuwa ndugu wanne wa Ukoo wa Senge wanaotoka Iramba wameuana kwa kugombea eka mbili za ardhi.
 
safi sana ndugu, vipi unaweza kujazia kidogo hapo namna ambavyo mtu anaweza kutajirika sehemu kama singida kwa manufaa yangu na wengine'
 
Singida bado kuna enough virgin land... so ardhi yapatikana kwa bei nafuu bado nlichoshangaa na huu mkoa ujenzi ni rahisi kama nini/material mchanga kibaooo+mawe/geemstones wenyewe wanayaita ng'ongo,. Mbao kibaooo.. Utagharamika sana bati na cement...
Extra source of income unaweza leta biashara kadha wa kadha mfn viatu, nguo both mitumba au special.. Electronics equipments, simu na computers+laptops(ni mji ambao unaanza kushamiri colleges),stationary, tigo-m-airtel pesa center...
fursa za huku ukiacha utozi kuna biashara ya alizeti, nafaka/mtama,uwele,ufuta, vitunguu unanunua kwa wakulima unazisunda unasubiri zikiadimika unauza pesa mtakato... Mifugo kuku, ng'ombe, mbuzi ndo usiseme... Nlishangaa mbuzi mzimaaa tulinunua elfu20 mnadani... Akili kumkichwa
GUD NEWS: MRADI WA UMEME WA UPEPO SOON UTAKAMILIKA SO SNGD WILL BE FULL OF ENERGY..
N:B nsikudanganye singida maji tabtab kidogo ingawa kuna mradi wa maji ndo unakamilishwa huo atleast utareleave pain,..
Kwa uchache chukua hii
 
ubarikiwe
 
Back
Top Bottom