sehemu za kufikia ni nyingi sana. uwezo wako tu.Habari wapendwa, natarajia kuja Kahama kesho na mimi ni mgeni kabisa sijawahi kufika Kahama hii ndo itakuwa mara yangu ya kwanza...
Ushauri wangu mkubwa tu ukiwa huko hakikisha huvai tu Condom katika Uume wako ukimpata Mwanamke wa huko, bali hakikisha muda wowote tu Condom haibanduki Mbooni mwako / Uboloni kwako kutokana na hali mbaya na ya Kutisha ya huo Mji maarufu kwa Wanawake wazuri, Weupe na Wepesi Kutongozeka na wala hawana Choyo.Habari wapendwa, natarajia kuja Kahama kesho na mimi ni mgeni kabisa sijawahi kufika Kahama hii ndo itakuwa mara yangu ya kwanza...
Kwahiyo lengo la safari ni kuja kulala?Naomba kufahamishwa maeneo mazuri pa kulala
Okay nashukuru lakini mimi nakuja huko kurekodi tu mandhari mazuri yaliyopo kahama na sehemu nzuri tu na sio hayo ulioyawaza wewe 😂Ngoja waje. Ungeuliza maeneo yenye fursa za uwekezaji ningejiandaa kukupokea na kukuonesha.
Ukishuka stendi mueleze yote ayo bodaboda yoyote ata kupeleka usisahau kumlipa vizuri
Kwahiyo lengo la safari ni kuja kulala?
Mkuu d4n kaishafungua club?Club zinazobamba sa ivi ni 101 the magic, d4n na chiller hapachuji japo kua ni ya zamani
Kuhusu wanawake aisee vaa tu condom nisiseme mengi
Kuhusu mahali pa kulala usiwe na Shaka maana nahisi wilaya ya kahama inaweza kua inaongoza duniani kua na lodge nyingi
101 wameiteka khm,101 the magic ukitaka starehe
Mengine sijui ..maana huku nilipo nimefikia kwa mwenyeji wangu