Wenyeji wa Kahama

Wenyeji wa Kahama

fastum

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
337
Reaction score
220
Habari wapendwa, natarajia kuja Kahama kesho na mimi ni mgeni kabisa sijawahi kufika Kahama hii ndo itakuwa mara yangu ya kwanza.

Naomba kufahamishwa maeneo mazuri pa kulala na bei rafiki pia maeneo kwenye vivutio vya Kahama ili netembee pia,

Pamoja na Club au Night club ilio changamka.

Asanteni sana nasubiria majibu yenu 🙏.
 
Ngoja waje. Ungeuliza maeneo yenye fursa za uwekezaji ningejiandaa kukupokea na kukuonesha.

Ukishuka stendi mueleze yote ayo bodaboda yoyote ata kupeleka usisahau kumlipa vizuri
 
Habari wapendwa, natarajia kuja Kahama kesho na mimi ni mgeni kabisa sijawahi kufika Kahama hii ndo itakuwa mara yangu ya kwanza...
Ushauri wangu mkubwa tu ukiwa huko hakikisha huvai tu Condom katika Uume wako ukimpata Mwanamke wa huko, bali hakikisha muda wowote tu Condom haibanduki Mbooni mwako / Uboloni kwako kutokana na hali mbaya na ya Kutisha ya huo Mji maarufu kwa Wanawake wazuri, Weupe na Wepesi Kutongozeka na wala hawana Choyo.
 
Ngoja waje. Ungeuliza maeneo yenye fursa za uwekezaji ningejiandaa kukupokea na kukuonesha.


Ukishuka stendi mueleze yote ayo bodaboda yoyote ata kupeleka usisahau kumlipa vizuri
Okay nashukuru lakini mimi nakuja huko kurekodi tu mandhari mazuri yaliyopo kahama na sehemu nzuri tu na sio hayo ulioyawaza wewe 😂
 
Club zinazobamba sa ivi ni 101 the magic, d4n na chiller hapachuji japo kua ni ya zamani

Kuhusu wanawake aisee vaa tu condom nisiseme mengi

Kuhusu mahali pa kulala usiwe na Shaka maana nahisi wilaya ya kahama inaweza kua inaongoza duniani kua na lodge nyingi
Mkuu d4n kaishafungua club?

Chiller kwa mzee Mathayo, pande hizo watu huwa hawalali kabisa.
 
Karibu jiji la raha na bata.club now ni tatu tuu ..chillers,d4n, na magic 101 anajikongoja kuhusu pakula KAHAMA ndo eneo lenye lodge mingi kuliko hata dar
 
0455013B-7D4A-423F-80E9-FC99A1588144.jpeg
0DB1710F-6C19-4DE8-B72C-94C021B8D53C.jpeg
0C3EE1EF-761E-410C-B712-D32C38479FF0.jpeg
 
Back
Top Bottom