yaan bora ungeandika tu majina ya club kuliko kuweka na pichaKaribu jiji la raha na bata.club now ni tatu tuu ..chillers,d4n, na magic 101 anajikongoja kuhusu pakula KAHAMA ndo eneo lenye lodge mingi kuliko hata dar
Kuna nini wana mbona kila mtu anashauri condom!Club zinazobamba sa ivi ni 101 the magic, d4n na chiller hapachuji japo kua ni ya zamani
Kuhusu wanawake aisee vaa tu condom nisiseme mengi
Kuhusu mahali pa kulala usiwe na Shaka maana nahisi wilaya ya kahama inaweza kua inaongoza duniani kua na lodge nyingi
Yaani huu mji watu wana hela na mzunguko wa pesa ni mkubwa lakini ukweli ni kwamba mpangilio wa mji ni wa ovyo ovyo sana wala mandhari yake haivutii kabisa.