Wenyeji wa Kahama

Wenyeji wa Kahama

Karibu jiji la raha na bata.club now ni tatu tuu ..chillers,d4n, na magic 101 anajikongoja kuhusu pakula KAHAMA ndo eneo lenye lodge mingi kuliko hata dar
yaan bora ungeandika tu majina ya club kuliko kuweka na picha

yaani ulivyoweka picha ndio umeharibu kabisaaaaa

sasa hizo club gani jaman yaani hujiskii vibaya ku post hivyo vi jumba vya kufugia ndege

halafu namna hiyo ndio muifananishe kahama na njombe ?
 
Club zinazobamba sa ivi ni 101 the magic, d4n na chiller hapachuji japo kua ni ya zamani

Kuhusu wanawake aisee vaa tu condom nisiseme mengi

Kuhusu mahali pa kulala usiwe na Shaka maana nahisi wilaya ya kahama inaweza kua inaongoza duniani kua na lodge nyingi
Kuna nini wana mbona kila mtu anashauri condom!
 
Back
Top Bottom