Wenyeji wa Kisaki au Bwakira chini tujuane!

Mabala21

Senior Member
Joined
Jul 24, 2021
Posts
139
Reaction score
89
Wadau salaama!

Nampango wa kuja kuweka maisha hasa biashara, ufugaji na kilimo maeneo ya Kisaki au Bwakira chini-Morogoro kusini. Naomba kupa connection na wenyeji wa huko.

Pia naomba ushauri wapi panafursa zaidi kati ya Kisaki na Bwakira chini, na kama biashara niwekeze kwente nini hasa?

Asanteni sana sana.
 
Huko ndo kwenu yan ulipo zaliwa au ni alakati za life
 
Nzasa, ming'ongoni, mgeta, kifuru, mbalala, konga, kauzeni, kilimahewa, kikoya, nyachiro, mindu, changarawe, mzinga...😁morogoro buana, nimepakumbuka sana
Kuzuri sana karibu tena!
 
Back
Top Bottom