Wadau salaama!
Nampango wa kuja kuweka maisha hasa biashara, ufugaji na kilimo maeneo ya Kisaki au Bwakira chini-Morogoro kusini. Naomba kupa connection na wenyeji wa huko.
Pia naomba ushauri wapi panafursa zaidi kati ya Kisaki na Bwakira chini, na kama biashara niwekeze kwente nini hasa?
Asanteni sana sana.