Shukurani sana, nawasubiri kwa hamu naitaji sana wadau wa huko nijenge mtandao!!Watakuja
Huko ndo kwenu yan ulipo zaliwa au ni alakati za lifeWadau salaama!
Nampango wa kuja kuweka maisha hasa biashara, ufugaji na kilimo maeneo ya Kisaki au Bwakira chini-Morogoro kusini. Naomba kupa connection na wenyeji wa huko.
Pia naomba ushauri wapi panafursa zaidi kati ya Kisaki na Bwakira chini, na kama biashara niwekeze kwente nini hasa?
Asanteni sana sana.
Harakati tu za maisha kaka sio asili yetu. Nimekulia zaidi Mzumbe Morogoro.Huko ndo kwenu yan ulipo zaliwa au ni alakati za life
Ok maisha kujaribu na usiogope kujaribuHarakati tu za maisha kaka sio asili yetu. Nimekulia zaidi Mzumbe Morogoro.
Mzumbe chuo? Mlali, Kipera, Mongwe, Sangasanga, tangeni, mikongeni, lubungo??!!Harakati tu za maisha kaka sio asili yetu. Nimekulia zaidi Mzumbe Morogoro.
Nzasa, ming'ongoni, mgeta, kifuru, mbalala, konga, kauzeni, kilimahewa, kikoya, nyachiro, mindu, changarawe, mzinga...😁morogoro buana, nimepakumbuka sanaMzumbe chuo? Mlali, Kipera, Mongwe, Sangasanga, tangeni, mikongeni, lubungo??!!
Kuzuri sana karibu tena!Nzasa, ming'ongoni, mgeta, kifuru, mbalala, konga, kauzeni, kilimahewa, kikoya, nyachiro, mindu, changarawe, mzinga...😁morogoro buana, nimepakumbuka sana
Wazee wa gomeroWadau wa Kisaki hakuna hapa jamvini wadau??