Wakuu poleni na majukumu.
Moja kwa Moja kwenye mada, nahitaji msaada wenu, Mimi ni mhitimu wa chuo Cha MUST mbeya nlieamua kujitafuta hapa hapa mbeya.
Baada ya kujitafuta kwa miezi kadhaa kitu Cha kwanza ikawa ni kutafuta eneo kwa ajili ya makazi.
Kwa bajeti ya Milion2 hadi 3 naweza pata kiwanja maeneo ya ;-
SISTILLA
ILEMBO maeneo ya Msd, mpka Tulia sec.
IWAMBI
Maeneo hayo tu ndio nmekusudia kwa msaada wenu wazee wa machimbo karibuni.
Kwa sasa naishi igodima.