Safi kabisaWakuu poleni na majukumu.
Moja kwa Moja kwenye mada, nahitaji msaada wenu, Mimi ni mhitimu wa chuo Cha MUST mbeya nlieamua kujitafuta hapa hapa mbeya.
Baada ya kujitafuta kwa miezi kadhaa kitu Cha kwanza ikawa ni kutafuta eneo kwa ajili ya makazi.
Kwa bajeti ya Milion2 hadi 3 naweza pata kiwanja maeneo ya ;-
SISTILLA
ILEMBO maeneo ya Msd, mpka Tulia sec.
IWAMBI
Maeneo hayo tu ndio nmekusudia kwa msaada wenu wazee wa machimbo karibuni.
Kwa sasa naishi igodima.
Kwa hiyo bajeti na hayo maeneo uliyotaja ni ngumu sana kupataWakuu poleni na majukumu.
Moja kwa Moja kwenye mada, nahitaji msaada wenu, Mimi ni mhitimu wa chuo Cha MUST mbeya nlieamua kujitafuta hapa hapa mbeya.
Baada ya kujitafuta kwa miezi kadhaa kitu Cha kwanza ikawa ni kutafuta eneo kwa ajili ya makazi.
Kwa bajeti ya Milion2 hadi 3 naweza pata kiwanja maeneo ya ;-
SISTILLA
ILEMBO maeneo ya Msd, mpka Tulia sec.
IWAMBI
Maeneo hayo tu ndio nmekusudia kwa msaada wenu wazee wa machimbo karibuni.
Kwa sasa naishi igodima.
Umeshapata?
Bado mkuu hii ni picha ya mshkaji kanitumia tu hii nime apload kuweka msisitizo tu.Umeshapata?
Ok, niandae kiasi gani ili niweze kupata maeneo hayoKwa hiyo bajeti na hayo maeneo uliyotaja ni ngumu sana kupata
Hii si isyesye