Wenyeji wa Musoma mjini hodi kwenu

Wenyeji wa Musoma mjini hodi kwenu

Ndama dume

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2019
Posts
858
Reaction score
1,484
Habarini wakuu leo naingia Musoma mjini hapo mpaka sasa ndio nipo Igoma Mwanza nategemea kuingia saa 3 hivi nipo na private car

Naomba kuelekezwa Hotel nzuri za kulala bajeti yangu 40,000/=na mabaharia karibuni mniambie machimbo mazuri
 
Kuna mativila hotel, afrilux hotel, Kuna leogrend, Kuna tembo beach na mativila beach his zinaanzia elfu 50 na kuendelea chumba,pia tuna leogrend Victoria chumba elfu 80000/= na zipo za chini ya hapo NI wewe tu
 
Mkuu unakuwaje na budget ya kulala wakat hujui utalala na nani?

kama huna wa kulala nae lala kwenye gari uokoe hela
 
kuna green guest house chumba, 6,000, Masegenya guest house chumba 5000 tu
 
Back
Top Bottom