Ndama dume
JF-Expert Member
- Nov 1, 2019
- 858
- 1,484
Ahsante mkuuKaribu kanda maalum
Duuuh mkuu kwenye gari kabisa?Mkuu unakuwaje na budget ya kulala wakat hujui utalala na nani?
kama huna wa kulala nae lala kwenye gari uokoe hela
Ahsante mkuuNgerengere ila iko pembeni kidogo ya mji
hivi havina kunguni ?kuna green guest house chumba, 6,000, Masegenya guest house chumba 5000 tu