jokotinda_Jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 882
- 1,536
Kwa wenyeji wa njombe ni Lodge gani nzuri naweza fikia pia na leta shukrani zangu kwa yule ndugu wa JF aliye nipa namba za watu wa ABC VIP class hakika ni usafiri mzuri 🙏🙏
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
RIP?Aisee. Natanguliza RIP
Fuatilia kwa ujirani maonyo ya wakuu.Chambua herufi kwa herufi,upate maana.RIP?
😀Tafadhali ya umeme?.Aisee. Natanguliza RIP
Kwa wenyeji wa njombe ni Lodge gani nzuri naweza fikia pia na leta shukrani zangu kwa yule ndugu wa JF aliye nipa namba za watu wa ABC VIP class hakika ni usafiri mzuri 🙏🙏
Hakuna kitu kama hicho.Ushauri kama mtu unatoka mikoa ya joto tafuta hoteli au Lodge zenye heating system kama Mexons Cliff ila kama Hela ni kidogo tafuta lodge za kisasa zenye GYpsum.Suala la hao wanaosema sijui kunguru hakuna kitu kama hicho labda ukatufute mwenye kwenye mabaa huko maana wamejaa ndugu zenu toka Singida,Arusha,Ruvuma nk..😄😄Hapo kunguru kama wote tafadhali fuata kilicho kupeleka