Ndio kilicho kupeleka huko?wakuu wenyeji wa singida ebu naomba mtusaidie sisi wageni vijiwe vya totoz, maake tumefika kipindi cha baridi sana.
Rhode sio night club, singida night club ni nyokaa tuNenda Nyokaa lounge night club, Serengeti bar au Rhode night club.