Patflax jr
Member
- Apr 11, 2011
- 72
- 1
- Thread starter
-
- #21
Mdau hata mie shemeji yangu amepangwa huko huko, ila cha msingi n wewe kuzngatia n kipi ulchokifuata, suala la uchawi lipo,tena kubwa tu...so uwe makini na raia utakawakuta.
Nb: wadau mi n new member, jaman nisaidie if i want to start my thread nafanyaje??
Kumbe na wewe wa kwetu Masika? tuwasiliane basi, uko pande zipi nikufate?Karibu Ukerewe, sisi wenyeji tupo. Ukifika tuwasiliane mkuu!.
Klorokwini ulikoswa koswa na nini? na ulikuwa pande zipi hadi ukakoswa koswa?Ungemwambia kwa mkato tu kuwa aache wosia kwa waifu akiondoka. Dah! hapa kuna dalili ya kumpoteza memba mwengine wa JF karibuni.
Mwenyewe nilikoswa koswa huko ukerewe
nitasimama imara na kwa miguu miwil kamanda i will neva giv up till i successed in ma lyf. Na bado mahudhurio jf hayatakatika
Karibu Ukerewe, sisi wenyeji tupo. Ukifika tuwasiliane mkuu!.
Wakuu, kwanza napenda nimshkuru Allah kwa kunijalia kupata Ajira.
Pili wanajamvi wenzangu naomba mnisaidie niweze kupafaham huko Ukerewe kwa wale wenye kupajua coz nimepangiwa kwenda kufanya kaz huko kwenye Visiwa vya Ukerewe mwanza. lakn marafik zang wananivunja moyo kwa kunipa habar za kutisha kuhusu visiwa hvyo.msaada plz. naomba kuwasilisha
Nitasimama imara na kwa miguu miwil kamanda I WILL NEVA GIV UP TILL I SUCCESSED IN MA LYF. Na bado mahudhurio jf hayatakatika