Wenyeji wa UKEREWE-MWANZA naomba msaada wenu

Wenyeji wa UKEREWE-MWANZA naomba msaada wenu

Status
Not open for further replies.
Mdau hata mie shemeji yangu amepangwa huko huko, ila cha msingi n wewe kuzngatia n kipi ulchokifuata, suala la uchawi lipo,tena kubwa tu...so uwe makini na raia utakawakuta.

Nb: wadau mi n new member, jaman nisaidie if i want to start my thread nafanyaje??

nashkur mkuu kwa kunijaza mahope. Pia napenda kutumia nafas hii kwa niaba ya wanajamvi wenzang kukukaribisha hapa kwetu JF. Then ukitaka kuanzisha thread kuna kaeneo hapo juu kameandikwa NEW TOPIC bas hako mkuu katakufaa zaid. Karb
 
Ungemwambia kwa mkato tu kuwa aache wosia kwa waifu akiondoka. Dah! hapa kuna dalili ya kumpoteza memba mwengine wa JF karibuni.
Mwenyewe nilikoswa koswa huko ukerewe
Klorokwini ulikoswa koswa na nini? na ulikuwa pande zipi hadi ukakoswa koswa?
 
ukerewe iz the best place. nimewahifika maeneo yale. hali ni nzuri utaenjoy. ukipenda waweza panda meli au ukazunguka isorya ukavuka na feri.

MIMI NAKUSHAURI UANDAE SAFARI YA KUEXPLORE NCHI HIYO YA UKEREWE KABLA HAUJAENDA, UTAONA MAMBO LIVE SIO KUSUBIRI KUSHAWISHIWA NA WADAU. JITAHIDI UENDE REFIKI
 
Wakuu, kwanza napenda nimshkuru Allah kwa kunijalia kupata Ajira.
Pili wanajamvi wenzangu naomba mnisaidie niweze kupafaham huko Ukerewe kwa wale wenye kupajua coz nimepangiwa kwenda kufanya kaz huko kwenye Visiwa vya Ukerewe mwanza. lakn marafik zang wananivunja moyo kwa kunipa habar za kutisha kuhusu visiwa hvyo.msaada plz. naomba kuwasilisha

Nyie walimu hamuishi vituko. We nenda tu au unaogopa kuliwa na mamba wa mifeji ya matuta ya viazi............? Nenda kachape mzigo, mbona mamba wapo kila mahali. ukijifanya we kidume au ndo unajua kutembea na waume za watu, basi fikiria mara mbili au zaidi, otherwise ni kuzuri tu.
 
Nitasimama imara na kwa miguu miwil kamanda I WILL NEVA GIV UP TILL I SUCCESSED IN MA LYF. Na bado mahudhurio jf hayatakatika

hapo kwa red and bolded: Bado natafakari endapo ugonjwa huu ukihamia kwa wanafunzi then ukaenda ikulu, ni aibu ya kiasi gani tz kama nchi tutaipata!
 
Wakuu, kwanza napenda nimshkuru Allah kwa kunijalia kupata Ajira.
Pili wanajamvi wenzangu naomba mnisaidie niweze kupafaham huko Ukerewe kwa wale wenye kupajua coz nimepangiwa kwenda kufanya kaz huko kwenye Visiwa vya Ukerewe mwanza. lakn marafik zang wananivunja moyo kwa kunipa habar za kutisha kuhusu visiwa hvyo.msaada plz. naomba kuwasilisha

Psalm 119:105, God's Word is a lamp to light my way, believe god will see the light in your life and path will appear in your life.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom