Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
Nafikiria kumiliki kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya kuishi je upatikanaji wake upoje?
bei zinafikia mpaka sh ngapi hasa maeneo mazuri ya watu wenye kipato cha kati?
kuna mtu alinidokezea kuwa kisiwa hakina tena sehemu za ujenzi na wanaplan kujaza vifusi vya mchanga baharini ili waongeze eneo la nchi kavu je hii ni kweli?
natanguliza shukrani za dhati
mi ni mtu wa bara ila Tanzania ni yetu sote nataka niweke ka mjengo huko.