Wenyeji wa Zanzibar Viwanja huko bei gani?

Mr Q

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
22,496
Reaction score
51,721
Nafikiria kumiliki kiwanja kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya kuishi je upatikanaji wake upoje?

bei zinafikia mpaka sh ngapi hasa maeneo mazuri ya watu wenye kipato cha kati?

kuna mtu alinidokezea kuwa kisiwa hakina tena sehemu za ujenzi na wanaplan kujaza vifusi vya mchanga baharini ili waongeze eneo la nchi kavu je hii ni kweli?

natanguliza shukrani za dhati
mi ni mtu wa bara ila Tanzania ni yetu sote nataka niweke ka mjengo huko.
 
Tenga millioni kumi mkuu!! kushuka mpaka saba hivi kwa maeneo ya kipato cha kati kama unvyosema
 
Zanzibar huwezi kupewa plot hadi uwe mkazi uliyekaa huko kwa miaka kadhaa.

Vv
 
Ukiwa na *chogo* hiwezi ishi Zanzibar. Kule watu vichwa vyao viko flat kwa nyuma. Kama vile Rashford yule striker wa Man U. Nasikia Rashford ni Rashidi Mfaume yule mkazi wa Dole
 
Ukiwa na *chogo* hiwezi ishi Zanzibar. Kule watu vichwa vyao viko flat kwa nyuma. Kama vile Rashford yule striker wa Man U. Nasikia Rashford ni Rashidi Mfaume yule mkazi wa Dole
😀 ila zanzibar nako kuna majina ya ajabu eti dole
shule ta msingi dole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…