Msimu wa mpya wa Ligi Kuu ya #NBCPreamierLeague Tanzania Bara umeanza leo kwa kutimua vumbi lake katika Viwanja Viwili vya Highland Estate - Ubaruku Mbalali na ule wa Majaliwa Stadium nyumbani kwa Namungo Football Club.
Katika Viwanja vyote Viwili Wageni waanza Vizuri.
HIGHLAND ESTATE
Full Time
Ihefu 0 - 1 Geita Gold
Mfungaji Elias Maguli dk 05'
MAJALIWA STADIUM
Full Time
Namungo FC 0 - 1 JKT Tanzania
Mfungaji Martin Kigi dk 43'
Na Goli la Dakika ya mwanzo kabisa likifungwa na Elias Maguli katika dakika ya 05 kule Ubaruku.
KIVUMBI VIWANJANI
View attachment 2718335View attachment 2718337