Wenyeji waloa, wageni watakata ugenini, Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2023/2024

Wenyeji waloa, wageni watakata ugenini, Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara 2023/2024

Soloma TV Online

Senior Member
Joined
Jun 26, 2023
Posts
104
Reaction score
291
Msimu wa mpya wa Ligi Kuu ya NBCPreamierLeague Tanzania Bara umeanza leo kwa kutimua vumbi lake katika Viwanja Viwili vya Highland Estate - Ubaruku Mbalali na ule wa Majaliwa Stadium nyumbani kwa Namungo Football Club.

Katika Viwanja vyote Viwili Wageni waanza Vizuri.

HIGHLAND ESTATE
Full Time
Ihefu 0 - 1 Geita Gold
Mfungaji Elias Maguli dk 05'

MAJALIWA STADIUM
Full Time
Namungo FC 0 - 1 JKT Tanzania
Mfungaji Martin Kigi dk 43'

Na Goli la Dakika ya mwanzo kabisa likifungwa na Elias Maguli katika dakika ya 05 kule Ubaruku.

KIVUMBI VIWANJANI

Screenshot_20230815-200447.jpg
Screenshot_20230815-200504.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20230815-200504.jpg
    Screenshot_20230815-200504.jpg
    39.5 KB · Views: 1
Mkuu ni Mbarali na sio Mbalali
Msimu wa mpya wa Ligi Kuu ya #NBCPreamierLeague Tanzania Bara umeanza leo kwa kutimua vumbi lake katika Viwanja Viwili vya Highland Estate - Ubaruku Mbalali na ule wa Majaliwa Stadium nyumbani kwa Namungo Football Club.
Katika Viwanja vyote Viwili Wageni waanza Vizuri.

HIGHLAND ESTATE
Full Time
Ihefu 0 - 1 Geita Gold
Mfungaji Elias Maguli dk 05'

MAJALIWA STADIUM
Full Time
Namungo FC 0 - 1 JKT Tanzania
Mfungaji Martin Kigi dk 43'

Na Goli la Dakika ya mwanzo kabisa likifungwa na Elias Maguli katika dakika ya 05 kule Ubaruku.

KIVUMBI VIWANJANI View attachment 2718335View attachment 2718337
 
Ihefu anachojua ni kukamia vigogo, na zamu hii mechi ya kwanza kazingua tena kwake..safi sana
 
Back
Top Bottom