Waboreya,
Mkuu wangu ukisoma habari hii imesema wazi MSAFIRI kasema kadhaa wa kadhaa (kwa upande wake).. Hivyo kama hakuna ukweli ni swala la wao Chadema kujiuliza upya kama maamuzi yao yalikuwa ya busara. Huyu mwandishi hakutunga kitu kabisa inaonyesha wazi lisemwalo lipo..kwanza ichunguzwe na uhakika upatikane kabla ya kuvamia magazeti hata kama siri imevujishwa la muhimu ni kuhakikisha kwamba sii kweli wenyeviti 11 hawakubaliani na kuvuliwa madaraka Kafulila.
Kifupi mchezo huu sii mgeni kabisa,na kumbuka CCM ktk uchaguzi wake wa Vijana, toka enzi ya Nchimbi lugha ni hiyo hiyo - vijembe, vishoka na kadhalika maadam watu wanahaha ktk kugawana umaskini.