Waboreya,
Mkuu wangu ukisoma habari hii imesema wazi MSAFIRI kasema kadhaa wa kadhaa (kwa upande wake).. Hivyo kama hakuna ukweli ni swala la wao Chadema kujiuliza upya kama maamuzi yao yalikuwa ya busara. Huyu mwandishi hakutunga kitu kabisa inaonyesha wazi lisemwalo lipo..kwanza ichunguzwe na uhakika upatikane kabla ya kuvamia magazeti hata kama siri imevujishwa la muhimu ni kuhakikisha kwamba sii kweli wenyeviti 11 hawakubaliani na kuvuliwa madaraka Kafulila.
Kifupi mchezo huu sii mgeni kabisa,na kumbuka CCM ktk uchaguzi wake wa Vijana, toka enzi ya Nchimbi lugha ni hiyo hiyo - vijembe, vishoka na kadhalika maadam watu wanahaha ktk kugawana umaskini.
Mkandara tuko pamoja
Mimi nimeshajizolea maadui wengi humu kwa kuwa mkweli kuhusu Chadema na future yake, at some point nikasema ebu niache kabisa hata JF, unaweza kupata ugonjwa wa Moyo, mawazo yamebadilika kama niishivyo , I will make sure kama Chadema inashika nchi basi wawe clean without spots
Sijawa conviced bado kama hali ya Chadema wakishika madaraka hawatatubadilikia
bado
Waboreya,
Mkuu wangu ukisoma habari hii imesema wazi MSAFIRI kasema kadhaa wa kadhaa (kwa upande wake).. Hivyo kama hakuna ukweli ni swala la wao Chadema kujiuliza upya kama maamuzi yao yalikuwa ya busara. Huyu mwandishi hakutunga kitu kabisa inaonyesha wazi lisemwalo lipo..kwanza ichunguzwe na uhakika upatikane kabla ya kuvamia magazeti hata kama siri imevujishwa la muhimu ni kuhakikisha kwamba sii kweli wenyeviti 11 hawakubaliani na kuvuliwa madaraka Kafulila.
Kifupi mchezo huu sii mgeni kabisa,na kumbuka CCM ktk uchaguzi wake wa Vijana, toka enzi ya Nchimbi lugha ni hiyo hiyo - vijembe, vishoka na kadhalika maadam watu wanahaha ktk kugawana umaskini.
Mkuu punguza hasira kwa mara ya kwanza kukuona umekasirika kiasi hicho.Kila mara mimi nimekuwa nikimtilia mashaka sana (maandishi yake) huyu kijana anayejiita mwanamapinduzi wa gazeti la mwananchi, yaani Ramadhani Semtawa. Ukisoma kwa makini(kati ya mistari) maandishi yake, anaelekea kuwa mkosoaji mkubwa wa Chadema, na Mbowe. Tena wakati mwingine inaonekana wazi ni hisia tu zinamsukuma.
Yeye na Makwaia wa Kuhenga tofauti yao ni katika majina tu na vyombo wanavyoviandikia. Lakini wote wamevaa magwanda waliyonunuliwa na Rostam Aziz. Pumbaf!
Wee endelea na ccm na kafu vyama vya waislamu Tanzania.Hakika CHADEMA pamoja na kuwa ni chama cha UKABILA NA UKATOLIKI lakini Dr Slaa ndie atakae imaliza Chadema.
Ningekuwa Mkatoliki au Mtu ninayetokea mikoa ya Kilimanjaro na Arusha ningeshauri huyu wamuondoe maana yake ana chuki sana na mnafiki mkubwa sana huyu .
Ni ndoto kwa mtu kama wewe hata na chama unachokishabikia kushika nchi...msije mka-christianize our beloved country ..balaaa tupu..Wee endelea na ccm na kafu vyama vya waislamu Tanzania.
Waberoya unaclaim kuwa wewe ndio mkweli kuhusu Chadema na future yake halafu unasema you will make sure kama Chadema inashika nchi basi wawe clean without spots ! Mmh, una uwezo mkubwa ndugu yangu ! Sisi wengine tuongezee nini kama hatuna uwezo wa kukuconvince kuhusu hali ya Chadema. Nakutakia kila la heri kwa hayo majukumu makubwa na mazito uliyojipa - ila kwa kuwa najua msimamo wako kuhusu Zitto kujiengua kugombea uenyekiti wa Chadema baada ya ushauri wa watu fulani, nakushauri kitu kimoja - please move on, Chadema is bigger than Zitto, Dr. Slaa au Mbowe.
What I also know ni kuwa Dr. Slaa amekuwa target kwa misimamo yake isiyoyumba na amekuwa akiwindwa kama sungura. Sidhani kama unaitendea Chadema haki kwa kudai wewe Waberoya ndio mkweli kuhusu Chadema - angalia unaweza kutumiwa kama chambo bila kujua. Take a break my friend, makubwa yanakuja - angalia CUF wanavyochangamkia tenda ya CCM na watanzania tusipoangalia tutabaki yatima, hivi sasa tumaini letu wengine lipo chama mbadala na vita iliyopo mbele yetu ni tete na kila silaha itatumiwa, mwananchi si tena la wananchi.
Hakika CHADEMA pamoja na kuwa ni chama cha UKABILA NA UKATOLIKI lakini Dr Slaa ndie atakae imaliza Chadema.
Ningekuwa Mkatoliki au Mtu ninayetokea mikoa ya Kilimanjaro na Arusha ningeshauri huyu wamuondoe maana yake ana chuki sana na mnafiki mkubwa sana huyu .
Asante sana nashukuru na wewe kwa kujitoa kunipa moyo.
Mi nasoma habari iliyoandikwa hapo juu.. Sasa kama gazeti lenyewe halikuandika habari hii inabidi mfuatilie kama alivyosema Waberoya. Mkiacha uongo ukasambaa basi bila shaka utachukuliwa kama ndio ukweli.Mkuu mkandara sina uhakika kama wote tunazungumzia habari moja maana nimerudia kusoma Mwananchi sijaona popote walopomnukuu Msafiri unless si mwananchi hili ninalolijua
I stand to be corrected Bob
Habari hiyo imemnukuu Katibu wa CHADEMA mkoa wa Kigoma akieleza kwamba wao bado wanamtambua David Kafulila kuwa ni Afisa wa chama kwa kuwa hajapewa barua rasmi na makao makuu kuelezwa kwamba uteuzi wake umetenguliwa.
Aidha katibu huyo, anayefahamika kwa jina la Msafiri Wamalwa amemueleza Kafulila kuwa ni Afisa anayetoka katika Mkoa wake Jimbo la Kigoma Kusini ambapo ni kati ya maeneo ambayo chama hicho kimefanya vizuri katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Kwa upande wake David Kafulila ameeleza kuwa alipokea mwaliko wa kuhudhuria kikao kilichoitishwa na Mo Ibrahim hapa Tanzania chini ya Katibu wa zamani wa UN Koffi Annan
......ndiyohiyo
Kafulila alipoteuliwa hakuandikiwa barua yoyote kuhusiana na uteuzi huo, rasmi au isiyo rasmi. Iweje leo adai barua?
Kafulila alikataa kwenda Kigoma Kusini kufanya kampeni wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa akidai fedha aliyowezeshwa na chama kwenda kufanyia kampeni ilikuwa finyu. Waliyekuweko huko na kufanya kampeni ni pamoja na Hasanali Muslim, mgombea ubunge wa CHADEMA wa jimbo hilo 2005. Kazi wafanye wengine sifa apewe mwingine.
Viongozi wa CHADEMA walioalikwa sio Kafulila peke yake.
.
Ilikuwa NCCR pale RASKAZONE.......ikaja TLP.......CUF........sasa kwa mbaaaali naliona dude lilelile linanyemelea JUMBA BOVU......!
Huwa hatutaki kuangalia historia, hatutaki kujua sababu za wao kufail, hatutaki kijiangalia sisi wenyewe kwenye kioo chetu wenyewe!
Sijaona bado chama cha upinzani kilichoifikia nguvu ya Mrema miaka 95' wakati muasisi wa taifa hili bado yuko hai anaangalia !