Wenyeviti kwa tiketi ya CHADEMA katika kanda ya Serengeti, watunukiwa vyeti vya heshima

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Hongereni sana kwani mmewaza sawa sawa maana haikuwa kazi rahisi na hata sisi wengine humu mitandaoni tulipendekeza kitu chenye kufafana na hiki:

Wabunge wa Bunge la 11 na waliokuwa wenyeviti wa halmashauri kwa tiketi ya CHADEMA katika kanda ya serengeti leo wametunukiwa vyeti vya heshima kwa utumishi uliotukuka kwa kipindi cha miaka 5 ya uongozi wao bila kuunga juhudi mkono-Martin M.M on twitter.

1592743776401.png

1592741062889.png
 
Safi sana wana CDM Serengeti mpo imara kabisa tunajivunia watu kama nyie.
 
Pongezi kwa hao wenyeviti na CHADEMA kwa ujumla maana kuwa kiongozi kwa awamu hii na mitikisiko yote lakini wameendelea kuwa imara kwa miaka yote mitano hakika ni uongozi uliotukuka.
 
Wameanza kampeni ya ubunge vyeti Wamego printia wenyewe internet cafe halafu wanagawiana wenyewe. Mbona utoto. wao wenyewe ndio viongozi wa kanda halafu wenyewe wanajigawia vyeti vya heshima. Chadema mna matatizo
 
Hongereni sana kwani mmewaza sawa sawa maana haikuwa kazi rahisi na hata sisi wengine humu mitandaoni tulipendekeza kitu chenye kufafana na hiki:

Wabunge wa Bunge la 11 na waliokuwa wenyeviti wa halmashauri kwa tiketi ya CHADEMA katika kanda ya serengeti leo wametunukiwa vyeti vya heshima kwa utumishi uliotukuka kwa kipindi cha miaka 5 ya uongozi wao bila kuunga juhudi mkono-Martin M.M on twitter.

View attachment 1485181

View attachment 1485148
Pongeza == Pongezi
Kipidi === Kipindi
Umakini unatakiwa, mnakwama wapi.
All in all, ni kitu kizuri kutambua mchango wa utumishi kwa mtu yoyote. Ni kielelezo kinachoishi, vyama vingine vinatakiwa kuiga jambo hili zuri.
 
Wameanza kampeni ya ubunge vyeti Wamego printia wenyewe internet cafe halafu wanagawiana wenyewe. Mbona utoto. wao wenyewe ndio viongozi wa kanda halafu wenyewe wanajigawia vyeti vya heshima. Chadema mna matatizo
Hiyo sio kampeni na haitaji elimu kubwa kufahamu madhila waiokumbana nayo viongozi wa CHADEMA ndani ya awamu ya tano na bado waliendelea kusimama hawakutetereka, wakitunukiwa hivyo vyeti ni sahihi tu.
Nyongeza ya hapo ukizungumzia kanda ni zaidi ya viongozi wenyewe pia wanachama wameshirikishwa juu ya kuwatunuku hivyo vyeti kifupi wameridhia kuwa wanastahiki.
 
Mleta mada badilisha kichwa kisomeke wajitunuku vyeti vya heshima wenyewe
 
Back
Top Bottom