baz kaiza JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 14,971 Reaction score 18,641 Sep 25, 2025 #1 Ni kweli CCM ina wenyewe ila sio hao wenyeviti wa Mtaa ambao maisha yao nao ni duni na Balozi wa Mtaa.
Ni kweli CCM ina wenyewe ila sio hao wenyeviti wa Mtaa ambao maisha yao nao ni duni na Balozi wa Mtaa.
nakwede97 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2021 Posts 3,017 Reaction score 9,986 Sep 25, 2025 #2 Kuna watu wanapita mitaan wanasema wanatengeneza vitambulisho vya kupiga kura Bure kabisa nilitaman niwaulize maswali ila nikawaza mbal
Kuna watu wanapita mitaan wanasema wanatengeneza vitambulisho vya kupiga kura Bure kabisa nilitaman niwaulize maswali ila nikawaza mbal
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 25, 2025 #3 Hatari sana... Cc: Mahondaw