Mwanantogakulya
Senior Member
- Mar 18, 2025
- 157
- 155
Mimi nimeshindwa kuelewa shida hapa ni nini hasa! Kuna ubaya gani kwa mwenyekiti wa serikali ya kitongoji kutumia muhuri?Wenyeviti wa Mamlaka ya mji mdogo mjini Maswa mkoani Simiyu wamegomea agizo la Mkuu wa wilaya ya Maswa,Dkt Vicent Anney la kuwataka kutotumia mihuri katika kutekekeza majukumu yao wakidai inawanyima nguvu ya kufanya kazi.
Mkubwa nisaidie, Hivi Mbunge ana mhuri? Natanguliza shukrani.Mimi nimeshindwa kuelewa shida hapa ni nini hasa! Kuna ubaya gani kwa mwenyekiti wa serikali ya kitongoji kutumia muhuri?
Mwenyekiti alitumia, Mtendaji wa Kijiji /Kata atatumia nini?..Mimi nimeshindwa kuelewa shida hapa ni nini hasa! Kuna ubaya gani kwa mwenyekiti wa serikali ya kitongoji kutumia muhuri?
Mihuri ni dili.Mimi nimeshindwa kuelewa shida hapa ni nini hasa! Kuna ubaya gani kwa mwenyekiti wa serikali ya kitongoji kutumia muhuri?
Hizo ni levels tatu tofauti za Serikali.Mwenyekiti alitumia, Mtendaji wa Kijiji /Kata atatumia nini?..
Mbunge hana muhuri ila anamshahara, posho na malupulupu, vipi kwa mwenyekiti?Mkubwa nisaidie, Hivi Mbunge ana mhuri? Natanguliza shukrani.