Wenyeviti wengine sikio la kufa. Wiki imekwisha hata kuitisha vikao vya ulinzi shirikishi wamegoma

Wenyeviti wengine sikio la kufa. Wiki imekwisha hata kuitisha vikao vya ulinzi shirikishi wamegoma

Mawematatu

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
468
Reaction score
608
Serikali inafanya kazi yake, watendaji wanatushangaza Sana. Alianza Mh Rais akasema waache. Wakavamia kunduchi. Lahaullah! Mkuu wa mkoa ametangaza jeshi la police likawataka wakuu wa vituo na wananchi washirikiane, Cha ajabu Kuna mitaa imekaa kimya.

Kwa mtaa nilipo mie hata wakija Leo wanapitisha mapanga, tunashukuru tu kwamba maeneo haya wenye miguu ya kuku ni wengi so hata meseji watoto wenjyeji wanapeana kukaa mbali na nyumba za watu.

Lakini haitoshi nilitegemea baada ya kurejea kutoka mkoa Jana nisikie wamekaa. Nafikiria Kuonana na wahusika nihoji kimya hicho Cha nini.

Hivi vitoto vipuuz mida kama hii vimelala sijui wapi..hiv hakuna ananayejua vilipo Ili vipotee maana hakuna namna
 
Unaongelea vijana wale mnawaita "panya road"? Kama ni hao basi huku kwetu maeneo fulani mkoani Mombasa walikuwa wanatokezea mchana kweupe!
 
Back
Top Bottom