Wenza nao kulipwa mamilioni halikubaliki viongozi muogopeni Mungu

Mkuu mkiambiwa katiba mpya ndio dawa mnaziba masikio, mkiambiwa lindeni kura mnasema mmemaliza kazi, mkiambiwa andamaneni kuonyesha kukataa mambo ya namna hiyo mnasema ni vurugu! Na bado, yajayo yanafurahisha!
 
Nimependa Regina Lowassa alivyojibu kwa busara alipopewa nafasi ya viti maalumu na Chadema.
 
Kuna vitu vinajaza sana uchungu moyoni ulivifikiria.....anyways nchi ni yao
Nchi ni yetu sote mamii, tuendelee kupaza sauti na vitendo pia kuonesha kutoridhishwa kwetu. Swala la kudai KATIBA mpya ni muhimu zaidi
 
Mkuu unamsingizia Jakaya bure, punguza chuki naye! Jakaya hapitishi wala kupiga kura ya ndio bungeni. Mkewe na mwanaye wana kura 2 kati ya kura 360, hata wewe unaona hili liko sawa kweli??!

Sheria hiyo imepitishwa kipindi cha Mwendazake kama sheria nyingi za hovyo zilivyopitishwa.
 
Nchi nyingi ili uwe tajiri fanya biashara, Tanzania ili uwe tajiri kuwa kiongozi wa CCM! Wapewe tu mpaka siku watanzania tutakapopata akili.
 
Wanasiasa ngozi nyeusi ni wabinafsi mno.

Kuna wastaafu wengi tu wa toka 2019 bado wanasotea mapunjo ya mafao yao kisa serikali/DEDs hawapeleki michango ya wanachama kwenye mifuko.

Hata kule kufikiria tu mambo ya wenza wao kwenye mazingira kama haya ni fedheha.
 
Naona umesahau tu ndugu yangu, kumlaumu tu Magufuli. Huyu mama sio Mbunge wa, viti maalum. Ni mbunge wa, kuchaguliwa huko kwao.
Mkuu huyo mbunge kapendekeza hoja bungeni, ikapita analaumiwaje? JK anaingiaje kwenye hili? Kuwaingiza vijana bungeni kivipi yeye ndiye kwapigia kura majiboni?
 
Hawawezi kutuelewa, hawana shida ya maji, umeme, miundo mbinu, afya, malazi wala chakula.
Watoto na mama zao wanaishi kifalme!
Hamshangai wakidai AMANI AMANI AMANI?!
ILI WAZIDI KUFAUDU...
 
Sisi wananchi ndiyo wajinga maana hatujitambui jamaa wanapiga pesa za umma
 
Zee pumbavu sana lile
 
Unawatajia hawa CCM kuhusu MUngu?
CCM ilishaachana na Mungu miaka mingi ndugu!
Sasa hivi wako na yule aliye "kinyume na Mungu" ndio maana mambo yao yanafanana na 'yule mwovu'
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…