Hii ni sheria ya kiporaji na udhalimu mkubwa mno.Hii nchi mapesa mengi yanapukutika kwenye anasa za wakubwa wetu.Nchi hii siasa ni biashara,ukipata uongozi ni fursa ya kutajirika.Na wataendelea kupukutisha pesa za umma kwa sheria za kinyang'anyi mpaka hapo Watz watakapoamka usingizini