steveachi
JF-Expert Member
- Nov 7, 2011
- 10,643
- 12,247
Tena hili ndio litakuwa jema zaidi kwani wapo wengi hvyo jamii kubwa itafaidi kipitia hao wenza kuliko hao wachache wasio wengiKama mwenza wa Rais anapata kiinua mgongo hata watumishi wengine wana haki kwa sababu mwenza wa Rais sio mtumishi wa serikali iweje apewe malipo na serikali? Kama hoja ni kumtuliza Rais hata engineer anatulizwa na mkewe au mumewe arudipo nyumbani.