T Thebony Member Joined Aug 16, 2012 Posts 92 Reaction score 2 Sep 22, 2012 #1 Kwan ujue ndungu zangu mi sjaelewa mpaka sasa.mkopo locted sua na tcu profl tcu loct me to Sua ila sua site no jna langu kwa mwenye infor anieleweshe
Kwan ujue ndungu zangu mi sjaelewa mpaka sasa.mkopo locted sua na tcu profl tcu loct me to Sua ila sua site no jna langu kwa mwenye infor anieleweshe
JOAQUEM JF-Expert Member Joined Jul 28, 2012 Posts 2,020 Reaction score 1,671 Sep 22, 2012 #2 Mkuu yale majina ya watu 15 yaliyoongezwa ndo ya mwisho kama haupo wasiliana na tcu mapema maana iyo kozi imechukua watu so chuo kimeelemewa
Mkuu yale majina ya watu 15 yaliyoongezwa ndo ya mwisho kama haupo wasiliana na tcu mapema maana iyo kozi imechukua watu so chuo kimeelemewa