Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
Wilaya ya NkasiMkoa wa Rukwa
Nimerushiwa kitu kama kuvalishwa kitu mwilini dira zangu zikafutikaga
😅 ni balaaWilaya ya Nkasi
Wewe ni mkristo? Kama ndiyo...em jitibu...kataa hiyo hali kwa Imani na maombi.Omba huku ukiamini kilakitu kinaenda kuwa sawaNi kweli uyasemayo ila nitofauti nasikia hivi. Kitu kikubwa kizito mgongoni kinanilemea kinaninyonga kinashuka gadi mgongoni kinakaba mbavu sana hadi sipumui
Unakielewa anachokis3ma. Au ndio nyie mliookoka mkasahau kama haya mambo yapo?Aliyekuambia kakudanganya, tafadhali ishi maisha yako bila kutegemea Imani potofu....utashinda....
Hayo unayopitia ni ile hali umeaminishwa then umejitia woga...basi utaona mengi... please chochote unachoona hakipo sawa,ni hali ya kawaida kukupata maana huwezi kuwa na hali positively tu sikuzote,kupitia changamoto lazima
Nieleweshe mkuu...mi nadhani watu wanaoamini Kuna uchawi kuliko wote ni walokoleUnakielewa anachokis3ma. Au ndio nyie mliookoka mkasahau kama haya mambo yapo?
Kama huelewi basi usimkatishe tamaa anaelia shida.Nieleweshe mkuu...mi nadhani watu wanaoamini Kuna uchawi kuliko wote ni walokole
Nilipomsaidia ndiyo hapo mkuu,wewe ulitaka niseme anayemroga ni mama yake au?Kama huelewi basi usimkatishe tamaa anaelia shida.
Kama huwezi msaidia, vyema kunyamaza kuliko kumkatisha tamaa
UNajua sikukatalii ila.kama.unaweza kunisadia nikawa na imani kali yakundoa hii kitu kweli nitakushukuru sana tuWewe ni mkristo? Kama ndiyo...em jitibu...kataa hiyo hali kwa Imani na maombi.Omba huku ukiamini kilakitu kinaenda kuwa sawa
Nakupenda sana,una majibu ya busara kuliko wasoma comments...UNajua sikukatalii ila.kama.unaweza kunisadia nikawa na imani kali yakundoa hii kitu kweli nitakushukuru sana tu
Duh aisee sasa hapo anafanyaje, nilishasikia hii, ukienda kwaa mganga linakaa pembeni, ukirud home linakuvaaitakuwa ulichokoza
maana kwa kitu cha kutupiwa na ulivyo hangaika ungesha pata ufumbuzi
ama waganga unao enda hawajui namna ya kukitoa
kuna wakati unaweza tupiwa jini, ulienda kwa mganga linajiweka pembeni na mganga anajua amelitoa ukitoka mazingira hayo linarudi
ko mganga lazima awe fundi kweli kweli kujua linapo jificha ndio anatega likienda linanaswa
atafute mganga wa kweli mwenye kujua kuliondoaDuh aisee sasa hapo anafanyaje, nilishasikia hii, ukienda kwaa mganga linakaa pembeni, ukirud home linakuvaa
Jini bubu maana Yake hapandishi,? Nan ndugu yangu anashida hizo connection ikipatikan muhimuatafute mganga wa kweli mwenye kujua kuliondoa
kuna watu hutupiwa majini bubu nalo kuliondoa ni mziki mwingine
atafanikisha aendelee kupambana