Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
ungejua hadi wenye dini zao unao waamini wanatumia mazingara piaMazingara hayaondolewi kwa mazingara ....Utapofushwa kwa kuondolewa uliloliona au kulifahamu utapandikizwa mengine ya ziada.
Hakuna nyeusi nzuri Wala Tiba Giza ni Giza Totoro.
Kwasasa yote yametegulia imebaki kuwa na kitu kigumu mwilini nakufuatiliwa na mtu ambaye simuoniJini mahaba??
HUPATI mtoto? Umefungwa.?
Unaota ndoto mbaya? Mimba zinatoka.?
Ukipata mwanaume WA kukuoa anakufa,?
Lipia Kati ya hivyo? Au nimekosea
UnanisaidiajeMazingara hayaondolewi kwa mazingara ....Utapofushwa kwa kuondolewa uliloliona au kulifahamu utapandikizwa mengine ya ziada.
Hakuna nyeusi nzuri Wala Tiba Giza ni Giza Totoro.
Onesha ulipoona dini nnayoiamini kwenye nilichoandikaungejua hadi wenye dini zao unao waamini wanatumia mazingara pia
HapanaKuna jamaa alikuwa na yeye anasema anasikia kama kichwani anapigwa na kitu kizito almanusura kupoteza fahamu, yaani akiwa anataka kusinzia kuna kitu kinatembea kutoka kwenye uti wa mgongo kinapanda hadi kichwani kinampiga kwa ndani hadi anapiga kelele kwa maumivu. alikuwa halali...
Baada ya kuzunguka kwenye vipimo ikaja kugundulika ni matatizo ya neva na uti wa mgongo, alipewa dawa akapona, lakini kabla kila mmoja alihisi jamaa amerogwa.
Ulishajaribu kupimwa Ct scan, MRI au vipimo ya damu?
I like it the way you're responding dia. Kama hujaolewa naomba niwe.....!Nakupenda sana,una majibu ya busara kuliko wasoma comments...
Mpenzi,hayo mambo ni ya kiroho yakatae kiroho...kitu kinachokuumiza afu hakionekani hicho hakijakaa kimwili hivyo kikemee kiroho...namaanisha nguvu ya Imani...utapona...
Naomba Mwenyezi Mungu akuponye mpenzi,uwe mzima dada🙏
KIlinivaaga nilipokuwa shuleni la sabaWhy usikibue ukichome? Nani kakurushianau unahisi umerushiwa?
Hayo mambo yakusumbuliwa na kivuli, wanasema jini maiti, hayo mengine yalipoondolewa unaweza kunipa connection kuna mtoto wa shangazi yangu kafungwa uzaziKwasasa yote yametegulia imebaki kuwa na kitu kigumu mwilini nakufuatiliwa na mtu ambaye simuoni
❤️ Barikiwa sanaI like it the way you're responding dia. Kama hujaolewa naomba niwe.....!
Kimtokacho mtu ndicho kile kilichoujaza moyo wake.
Kabla ya tatizo kukufika Taarifa huja kwa Jumbe tofauti zisizo rasmi.Unanisaidiaje
Na iwe hivyo siku zote.❤️ Barikiwa sana
True wengi wengi nisaidie niombewe ili initokee hii haliNa iwe hivyo siku zote.
Kuna jambo unaweza kufanya kwa huyu client.
"Pray for her" fanya iwe nadhiri kwako.
aachane na hizo imani za kumpotezea pesa. Maana waganga wakweli ni 1:200 wengi matapeli.
Niombeee kama unamjua mtu mwombeaji aniombeeNajaribu kujua mgonjwa anapitia nn ili nijue tiba
Tafuta mtu 1 au 2 wale wakaribu ambao wanaweza kuwa na wewe katika nyakati kama hizi.True wengi wengi nisaidie niombewe ili initokee hii hali
NimewakosaTafuta mtu 1 au 2 wale wakaribu ambao wanaweza kuwa na wewe katika nyakati kama hizi.
maombi ya vitu kama hivyo yanahitaji kujitoa sana maana ni vita. Yanahitaji watu active sana.
Vita ya imani inahitaji ujikane nafsi ya mwili. Maombi ya Kufunga na toba njia ya ukombozi. .
Nifate pm tafadhaliYaani napitia sana matatizo mengi ikiwemo afya yaani humu kwasababu hata hatujuani . Mtu anafungukaga tu. Ila haya matatizo sijui nayatatuaje nimechoka nimezunguka miji yote sipati tiba .
Yaani hadi nimechokaaa. Nikitu nakifahamu ila kutolewa niwe huru imeshindikana . Humu ukisaiduwa napo ni hela tu watu wanakula humu nimepigwa hela za kutosha.
Ila hali ni ile ile tu. Yaani nimechoka kwakweli sijui nitaenda wapi kutolewa hii hali . Maana nihali ambayo sio yakihospitali wala kimapenzi nikiasili zaidi.
Usikate tamaa. Unaweza kuwapata. Naamini hivyoNimewakosa