Kuna jamaa alikuwa na yeye anasema anasikia kama kichwani anapigwa na kitu kizito almanusura kupoteza fahamu, yaani akiwa anataka kusinzia kuna kitu kinatembea kutoka kwenye uti wa mgongo kinapanda hadi kichwani kinampiga kwa ndani hadi anapiga kelele kwa maumivu. alikuwa halali...
Baada ya kuzunguka kwenye vipimo ikaja kugundulika ni matatizo ya neva na uti wa mgongo, alipewa dawa akapona, lakini kabla kila mmoja alihisi jamaa amerogwa.
Ulishajaribu kupimwa Ct scan, MRI au vipimo ya damu?
Hakika,ukiwaamini hao umepoteza direction ya maishaNa iwe hivyo siku zote.
Kuna jambo unaweza kufanya kwa huyu client.
"Pray for her" fanya iwe nadhiri kwako.
aachane na hizo imani za kumpotezea pesa. Maana waganga wakweli ni 1:200 wengi matapeli.
Tafuta wataalum kitoka zanzibar (hawa maostazi wasoma dua )huko wataweza shida zako hawa huku bara uongo mtupuNimerushiwa kitu kama kuvalishwa kitu mwilini dira zangu zikafutikaga
Kuna mtu ulimtendea uovu? Na hukusuluhishana nae?Ni kweli uyasemayo ila nitofauti nasikia hivi. Kitu kikubwa kizito mgongoni kinanilemea kinaninyonga kinashuka gadi mgongoni kinakaba mbavu sana hadi sipumui
Wow!Hakika,ukiwaamini hao umepoteza direction ya maisha
Kapata shambulio la negative energy atafute mtu amfundishe meditation ili apandishe mitetemo yake juu ajiponye mwenyewe ili hayo matakataka sijui uchawi yote yatakwishaAliyekuambia kakudanganya, tafadhali ishi maisha yako bila kutegemea Imani potofu....utashinda....
Hayo unayopitia ni ile hali umeaminishwa then umejitia woga...basi utaona mengi... please chochote unachoona hakipo sawa,ni hali ya kawaida kukupata maana huwezi kuwa na hali positively tu sikuzote,kupitia changamoto lazima
Sio kila mtu ana ufahamu wa mambo ya kiroho thus shida na matatizo ni sehemu ya maisha yaoSiku ukifanikiwa kupuuza hii imani ndipo utakapo pona .
Ni tatizo la kiakili na la kidhania, lililozalishwa na kukuzwa na aina fulani ya imani.
Nimekumic sana Aunt, umepotelea wapiii?Unatafuta mganga?
Nikupe namba ya Da Salama buguruni akakupige nyungu?
hali gani hiyo? funguka usaidiweYaani napitia sana matatizo mengi ikiwemo afya yaani humu kwasababu hata hatujuani . Mtu anafungukaga tu. Ila haya matatizo sijui nayatatuaje nimechoka nimezunguka miji yote sipati tiba .
Yaani hadi nimechokaaa. Nikitu nakifahamu ila kutolewa niwe huru imeshindikana . Humu ukisaiduwa napo ni hela tu watu wanakula humu nimepigwa hela za kutosha.
Ila hali ni ile ile tu. Yaani nimechoka kwakweli sijui nitaenda wapi kutolewa hii hali . Maana nihali ambayo sio yakihospitali wala kimapenzi nikiasili zaidi.
Wewe ni mkristo? Kama ndiyo...em jitibu...kataa hiyo hali kwa Imani na maombi.Omba huku ukiamini kilakitu kinaenda kuwa sawa
Kwa hiyo wewe hapa umejibu ulichouliuzwa au umelalamika tu.Kama huelewi basi usimkatishe tamaa anaelia shida.
Kama huwezi msaidia, vyema kunyamaza kuliko kumkatisha tamaa