Wenzangu hali si hali nimekwama

Nimerushiwa kitu kama kuvalishwa kitu mwilini dira zangu zikafutikaga
Kwanini uvalishwe kwanza tuanzie hapo tu.
Maana kuna walioonewa na waliostahili kuvalishwa hayo mambo.
Mimi nilionewa je wewe mwenzangu ikoje?
 
Kama una nauli ya Tabora njoo uchukue namba free of charge. Utanishukuru badae.
 
Nimeona apa Kuna mwamba amenitag kwenye huu Uzi.
Pole sana ili nalo litapita mkuu🙏🏽
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…